Manchester United bado wanaendeleza sagura sagura ya usajili na sasa wanataka saini ya mchezaji wa Southampton Morgan Schneiderlin.
Manchester United wataiingia katika mazungumzo na Southampton juu kumnasa Morgan Schneiderlin. Sportsmail wanaeleza kuwa mwakilishi wa klabu Old Trafford alisafiri hadi pwani ya kusini katika siku ya Jumatano katika jitihada za kukamilisha mikataba wa mchezaji huyo wa timu ya taifa ya ufaransa.
United wanadhaniwa kuwa kuwasilisha kitita cha £ 20million kwa ajili ya Schneiderlin
Bosi wa mashetani wekundu Louis van Gaal anataka kumchukua Schneiderlin kutua United kabla ya msimu wa ziara ya Marekani.
chanzo (dailymail.co.uk)http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-3154042/Manchester-United-head-Southampton-Morgan-Schneiderlin-deal-pre-season-tour.html
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni