Jumanne, 26 Aprili 2016

Habari picha za MUM fc kule Mjini Dodoma

Walinda milango wa Timu ya MUM wakifanya mazoezi kabla ya  mechi dhidi ya Saba saba Fc (kushoto) Miraji Muswadick na Mzee wa Yanga.picha na Majid Yusuf



Kocha Mkuu wa MUM FC  Mwl. Abdallah Kessy akitoa maelekezo kwa vijana wake dhidi ya Saba saba fc Mkoani Dodoma mwishoni mwa wiki jana.picha na Majid Yusuf

Timu ya Chuo Kikuu  Cha Waislaam Morogoro( MUM FC) wakiwa katika Uwanja wa Dodoma Secondary kabla ya kukipinga na Saba saba  Fc ya Mkoan hapo. picha na Majid Yusuf.


Mtanange wa MUM FC  dhidi ya Saba saba Fc ukiendelea katika viwanja vya Dodoma Secondary mkoani humo.picha na Majid Yusuf

Baadhi ya wachezaji wa MUM Fc wakimpongeza kinda wa Saba saba fc ya mkoani Dodoma baada ya MUM FC  Kushinda wa 3 bila .picha na Majid Yusuf

Baadhi ya viongozi wa wa MUM FC wakijivunia ushindi wa 3 bila dhidi ya Saba saba fc ya MKoani Dodoma .picha na Majid Yusuf

Ally Hamad (kulia), Mwl. Abdallah Kessy ( katikati) na Waziri wa Michezo wa Chuo Kikuu cha Waislaaam  Morogoro Hussein Nyombi wakishaaa katika kiwanja cha Chuo Kikuu cha Biashara ( CBE ) mkoani Dodoma.picha na Majid Yusuf

Baadhi ya wachezaji wa MUM FC wakifanya mazoezi ya kuuchezea mpira kabla ya kukwaana na wenyeji wao  CBE FC ya mkoani Dodoma.picha na Majid Yusuf

Baadhi ya  viongozi wa MUM FC wakitoa maelekezo kwa timu yao kabla ya mechi dhidi ya CBE FC ya Dodoma.picha na Majid Yusuf

Baadhi ya wachezaji wa MUM FC wakisikiliza maelekezo kutoka kwa viongozi wa timu hiyo kabla ya kukwaana na CBE FC.picha na Majid Yusuf

MUM FC katika picha kabla ya kukwaana na CBE FC ya Dodoma picha na Majid Yusuf

MUM FC wakifanya womapu kabl;a ya mchezo wao kabla ya CBE FC picha na Majid Yusuf

MUM FC KATAIKA UWANJA WA CBE MJINI DODOMApicha na Majid Yusuf

MUM FC wakati wa kupasha Charlse Masesa (aliyechini) akiwa amepata mshutuko wa nyama  za mguu wa kulia.picha na Majid Yusuf


baadhi ya wachezaji wa MUM FC wakiwa wanaangalia ubora wa uwanja wa CBE FC kabla ya mechi yao dhidei ya CBE FCpicha na Majid Yusuf

Timu ya CBE FC ya Dodoma wakifanya womapu kalba ya kuwakabili MUM Fc ya  kutoka Mkoani Morogoro.picha na Majid Yusuf

MUM FC WAKIMFATILIA MWALIMU WAO KABLA YA MCHEZO WAO DHIDI YA CBE FC YA MKOANI DODOMA.picha na Majid Yusuf

First eleven ya MUM FC kabla ya kukwaana na CBE FC.picha na Majid Yusuf

Benchi la ufundi la MUM FC  wakiufatilia kwa makini mtanange dhidi yao na CBE fc .picha na Majid Yusuf

Kocha mkuu wa timu ya CBE FC akitoa maelekezo kwa vijana wake.picha na Majid Yusuf

Wachezaji wa mum fc wakishangilia goli la 4 la mshambuliaji wao Ally Hamad(wa kwanza alovaa jezi )kwa kupiga kaswia .picha na Majid Yusuf

Mshambuliaji wa timu ya MUM FC Ally Hamadi akishangilia goli lake la 4 kwa kusujudu dhidi ya CBE FC .picha na Majid Yusuf

MUM fc wakishangilia goli lao la 3 dhidi ya CBE FC ya Dodoma. picha na Majid Yusuf

MUM fc wakipasha kabla ya mechi ya dhidi ya Jeshi la Magereza Kuu Isanga ya Dodoma.picha na Majid Yusuf

Baadhi ya wachezaji wa timu ya jeshi la magereza la Isanga ya Dodoma wakifanya mazoezi kbala ya kuminyana na MUM FC. picha na Majid Yusuf

MUM FC wakipokea maelekezo kutoka kwa kocha wao Mwl. Abdallah Kessy kabla ya mechi yao na jesji la magereza Isanga ya Dodoma. picha na Majid Yusuf

Kikosi cha MUM FC kabla ya mchezo wao dhidi ya ISANGA FC ya mkoani Dodoma. picha na Majid Yusuf

Charlse Masesa  baada ya kupiga mkwaju wa penalt akiwafanya MUM FC kufuta machozi kwa 2- 1dhidi ya Isanga fc. picha na Majid Yusuf

ISANGA FC KATIKA UBORA WAKE. picha na Majid Yusuf

Mashabiki wa mum fc wakishudia mechi dhidi yao na Isanga fc . picha na Majid Yusuf

Kocha Mkuu wa MUM FC Abdallah Kessy(wakwanza kulia) akifatilia mechi yao dhidi ya Isanga fc. picha na Majid Yusuf

Mwalimu Abdallah Kessy baada ya kufungwa gali la pili na timu ya Isanaga ya mkoani ya Dodoma. picha na Majid Yusuf

MUM FC baada ya mechi yao dhidi ya Isanga fc, mum fc walipoteza mechi hiyo kwa kufungwa mbili moja. picha na Majid Yusuf

MUM FC na ISANGA FC wakiwa katika picha ya pamoja  wakimanisha michezo ni umoja. picha na Majid Yusuf



MUM fc wakiwa katika gari lao na majonzi baada ya kupoteza mchezo wao dhidi ya Isanga fc kwa matokeo ya 2-1. picha na Majid Yusuf

Hakuna maoni: