

Ramos amefikia karibu kuhama katika klabu yake ya real madrid na kulekea Old Trafford baada ya kutokuelewana na baadhi ya viongozi wa Bernabeu.
Ronaldo alionekana mwenye hasira alipoulizwa kuhusu Ramos, akisema: "Sijui, mimi sijui"
Wakati nyota wa Ureno alionekana kuchanganyikiwa baada ya waandishi wa habari kumtaka ate maoni yake juu ya uhamisho wa Sergio Ramos ambao unaonekana kuelekea kufanikiwa. (chanzo mirror.co.uk ).http://matatachede.blogspot.com/2015/07/cristiano-ronaldo-amegoma-kuongea-juu.html
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni