![]() |
Baadhi ya Watangazaji wa MUM katika kipindi cha Dimba la michezo wakifuatilia mchezo kati ya Staff na Mwaka wa pili. |
![]() |
Baadhi ya Wachezaji wa Staff wakijipongeza baada ya kutinga fainali |
![]() |
Twalibu chande Mchezaji wa timu ya mwaka wa pili ambaye aligeuka kuwa kocha wa timu ya Staff |
![]() |
Hassan Kimweri miongoni mwa wachezaji wa timu ya Staff akimsaidia Nahodha Mwalim Hamadi baada ya kuumia mchezoni. |
![]() |
Abrahamani Muchi akitoka kumpisha Mfinanga katika mechi yao dhidi ya Diploma Sayansi. |
![]() |
Mashabiki wa timu ya staff wakimbeba nahodha wa timu hiyo Mwalimu Hamadi baada ya kuibuka washindi na kutinga fainali. |
![]() |
Waliokuwa wanafunzi katika Diploma Sayansi ambao walijitokeza kuwashangilia Sayansi wenzao wakipoteza mchezo dhidi ya staff (Gilbert Jorge kushoto mbele na Kudra Ali kulia mbele) |
![]() |
Mashabiki wakiwa katika Jukwaa la juu kushudia mchezo kati ya staff na diploma sayansi. |
![]() |
Wadau wa soka wakishuhudia mchezo kati ya Diploma Sayansi na Mwaka wa Tatu katika Uwanja wa chuo Kikuu Cha Waislam Cha Morogoro. |
![]() |
Mashabiki wa soka Chuo Kikuu Cha Waislam cha Morogoro wakishuhudia mechi kati ya Diploma Sayansi na mwaka wa Tatu |
![]() |
Mchezaji Jawadu Juma wa Diploma Sayansi akiwania mpira wakati wa mechi ya nusu fainali ya pili dhidi ya mwaka wa Tatu. |
![]() |
Kikosi cha Timu ya Diploma Sayansi kabla ya mchezo wa nusu fainali dhidi ya mwaka wa tatu. |
![]() |
Kikosi cha Timu ya mwaka wa tatu kabla ya kuingia uwanjani kuwavaa Diploma Sayansi katika Nusu Fainali ya pili |
![]() |
Mchezaji wa Timu ya Sayansi Jawadu Juma 'Kinyobwa' akitoka nje ya uwanja akimpisha mchezaji mwenzake kuchukua nafasi yake. |
![]() |
Abdallah Kessy mwamuzi wa michuano ya ligi ya Soda MUM.( picha na Majid Musisy) |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni