![]() |
Timu ya Mwaka wa Tatu BAED MUM kabla ya kuminyana na watani wao BAED MWAKA WA PILI juzi uwanja wa MUM (picha na Majid Musisy)
![]() |
Timu ya MWAKA WA 3 BAED kabla ya kabiliana na watan wao MWAKA WA PILI BAED juzi uwanja wa MUM (picha na Majid Musisy) |
![]() |
Hamis Kawaga ndiye goli kipa bora wa raundi ya kwanza ligi ya Soda MUM kutoka timu ya BAEDB MWAKA WA TATU ( picha na Majid Musisy) |
![]() |
Yasini Mkono aliyefunga goli la pekee kuwaondoa watani wao BAED MWAKA WA PILI katika mashindano ya ligi ya Sonda hapo juzi MUM.( picha na Majid Musisy) |
![]() |
Yasini Mkono akipongezwa na aliye kuwa Waziri wa Usafi na Mazingira katika serikali ya wanafunzi MUM. ( picha na Majid Musisy) |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni