Jumatatu, 25 Mei 2015

Baadhi ya wachezaji wa timu ya Staff ya MUM wakifanya womapu kabla ya mechi yao dhidi ya Wanafunzi wa Mwaka wa pili wakiongozwa na Hamed Meena (wakwanza kushoto) hapo jana kiwanja cha MUM.  (picha na Majid Musisy)



Timu ya wanafunzi wa Mwaka wakwanza kakitroti kabla ya mtanange dhidi ya Timu ya Staff hapo jana katika kiwanja cha MUM. (Picha na Majid Musisy)

Mkono mwamuzi wa mechi ya Staff dhidi ya Mwaka wa Kwanza akifanya ukaguzi kabla ya mchezo kuanza hapo jana katika uwanja wa MUM. ( Picha na Majid Musisy)

Hakuna maoni: