JIDDY MUSISY
Jumatatu, 20 Julai 2015
HUU NDIO UZI MPYA WA CHELZEA
Chelsea
imetambulisha jezi mpya ambazo watazitumia katika msimu
mpya
wa
2015-16
katika Ligi Kuu ya England
ambayo imedhaminiwa na
Yokohama
Tyres
.
Chelsea
kwa sasa iko katika
ziara
nchini Marekani,na
mabingwa hao wa Uingereza
wanakabiliwa na kibarua kizito kutoka katika klabu ya uhispania Fc Bacelona
Julai 28,
huko Washington marekani.
http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-3167941/Chelsea-release-new-away-kit-champions-prepare-Premier-League-title-defence-debut-white-strip-against-Barcelona.html
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni
Chapisho Jipya
Taarifa za zamani
Nyumbani
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni