Alhamisi, 28 Mei 2015

MWOMBEKI, DAUD 7 MWALIKO WAWAFATA NGASSA,PONDA NA MHANDO BAADA YA KUTOLEWA KATIKA MASHINDANO YA LIGI YA SODA MUM


Timu ya Sayansi MWAKA WA PILI wakipiga jaramba kabla ya nusu fainali yao na Timu ya Staff jion ya leo katika kiwanja cha MUMU( picha na Majid Musisy)


Omary Mwaliko wa kwanza kulia akiongoza benchi la ufundi katika timu ya sayansi Mwaka wa Pili  jioni ya leo dhidi ya Staff MUM. ( picha na Majid Musisy)


Baadhi ya wachezaji wa timu ya Staff wakiwa katika benchi lao wa kwanza kushoto ni Mwl.Malegeri, wa pili Mwl. Chittota, wa tatu kutoka kushoto Mwl. Ferouse. ( picha na Majid Musisy)


Hassan Kimweri mtangazajiwa MUM FM ( aliyesimama) akitathimini nani wa kuziba pengo la Hamed Meena (aliye kaa chini) baada ya kupata jeraha katika nusu fainali ya leo dhidi ya Sayansi Mwaka wa Pili. ( picha na Majid Musisy)




Mwl. Hamad ( timu kaptain ) akiongoza timu yake ya Staff kuelekea mapumziko. ( picha na ( Majid Musisy)


Baadhi ya wachezaji wa timu ya Staff wakiutazama mchezo wao dhidi ya sayansi mwaka wa pili. ( picha na Majid Musisy)


Hakuna maoni: