Alhamisi, 16 Aprili 2015

BAADA YA ZIARA YA TANGA KESSY AWAPANIA CHUO CHA UTUMISHI FC

Wakwanza (kushoto) ni Sufiani Mzimbile Katibu mkuu wa timu ya MUM FC (wapili) Abdallah Kessy kocha mkuu wa timu ya MUM FC  wakiwa kwenye dimba la michezo la 91.1 MUM FM (SAUTI YA TAALUMA) 


Mmoja wa watangazaji wa vipindi vya michezo MUM Khatibu Omary ( Kiungo mbadilisha matokeo) akiwa kazini akifanya maojiano na vingozi wa timu ya MUMU FC


Kocha mkuu wa timu ya MUMU FC Abdallah Kessy akitanabaisha lile na lile kwa yaliyo mkuta kule Tanga na timu yake baada ya kurejea njumani kwenye studio za 91.1 MUM FM(SAUTI YA TAALUMA)


Hakuna maoni: