VIJANA WA ASTASHAADA MUM WA BEBA UBINGWA WA RADIO MUM CUP JUMAPILI YA WIKI JANA !
HABARI PICHA ZA MATUKIO YA MECHI YA FAINALI YA RADIO MUM CUP
![]() |
Vijana wa Cheti |
![]() |
Baadhi ya wachezaji wa Timu ya mwaka wa pili wakijipanga kuzuia fauru ya kuelekea langoni kwao. picha na Majid Yusuf. |
![]() |
Vijana wa Cheti wakishangilia goli la pekee lililowapa ushindi dhidi ya Mwaka wa 2 Jumapili ya wiki jana. picha na Majid Yusuf. |